Monday, April 20, 2015


Labda hukupata nafasi kuwa mmoja ya waliohudhuria show ya nguvu juzi pale Escape 1DAR.. Ilikuwa kali sana yani, pata picha Christian Bella, Ruby, Ali Kiba, Kassim Mganga,Msami, na Alicious toka +254 Kenya.. WOTE kwenye stage moja.
Mapinduzi ya Muziki wa Dansi burudani nyingine ya kuiona kwenye hizi PICHAZ mdau wangu..




















0 comments:

Post a Comment