Monday, April 20, 2015

Nassoro Moyo:- Akihojiwa na DW radio, amesema hana mpango wa kukata rufaa na CCM si baba yake. Kamnukuu Nyerere alivyotamka CCM si mama yake. Yeye ni muumini wa serikali tatu.

0 comments:

Post a Comment