Tuesday, May 12, 2015

Licha ya mapenzi yao kuwa yameisha ila mara nyingi imekuwa ikijitokeza msanii Kanye west kumtolea maneno machafu mpenzi wake wa zamani Amber Rose kuwa nivema aoge hata mara 100 hawezi kumfikia mke wake kwa uzuri ambaye ni Kim.

Lakini licha ya kuwa namdis kwa vyombo vya habari tofauti nchini marekani Amber rose amekuwa yuko kimya na kuendelea na penzi lake na Wizkhalfa lakini mwishoni mwa week hii yalizuka makubwa baada ya amber rose kufunguka kuwa rapper huyo ambaye ni xboy wake Kanye west hana lolote kutokana na kile alichosema ''Msani gani anaye andikiwa nyimbo,Bora mumsikilize anaye muandikia'' haikuwekwa bayana kuwa ni kweli lakini mwanamama Amber alifunguka na kusema atayataja yote anayofanyanya kwa undani endapo kanye ataenda kumfuatilia.
Categories:

0 comments:

Post a Comment