Tuesday, May 12, 2015

Kampuni ya Shear illusions Ltd. imekabidhiwa mfano wa Barcodes ambazo zitatumika kwenye bidhaa za LuvTouch Manjano. Kushoto anayenikabidhi ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza. Tukio hilo lilifanyika Jana  katika mkutano wa wachama wa GS1 kwenye jengo la New LAPF Building (Millennium Towers). 

0 comments:

Post a Comment