Sunday, May 31, 2015

Angelina Jolie ana miaka 41 amezaa watoto watatu,Mme wake ni mcheza filamu maarufu Brad Pitt.Siri ya urembo wake anakunywa maji masafi  na mengi,juice za matunda.Colberti crime ni mafuta yake pekee anayopaka,Hapendi makeup nzito anapenda kua natural.Anapaka lipstic.Shampoo ya Aveda hutumia kwenye nywele zake.Mazoezi hufanya ya yoga na karatee.Misosi anayo penda kula mboga mboga na anamaintain diet.Hutumia sabuni zenye kuondoa chunusi na harara.

0 comments:

Post a Comment