Sunday, May 31, 2015

 Nyeeam Hudson A.K.A Kingnahh mwenye umri wa miaka tisa amekua na uwezo mkubwa wakujiamini nakuwaelimisha watoto wenzie kuwa na maono ya mbali nakusimamia ndoto zao.Ni raia wa Marekani amekua akifanya vipindi mbalimbali vya redio na tv kuwaimiza wazazi kuwasikliza watoto ili watimize ndoto zao.Juzi msanii P Diddy alionesha kukubali uwezo wa mtoto huyo mwamasishaji.



0 comments:

Post a Comment