‘Nikifa usije kunizika, ukifa sitakuzika’! Ni maneno makali sana
kuyatamka kiasi kwamba, enzi za wahenga ilipotokea ndugu, marafiki au
majirani wakaapishana kwa maneno hayo, walitafutwa wazee wenye hekima
ili kuondoa laana hiyo.
Wasanii wa Bongo movie Wema Sepetu na Aunt Ezekiel.
Juzi, Aunt ameibuka na kutoa kauli kali bila kuuma maneno kwamba, Wema
akitangulia kuaga dunia, yeye hatakwenda kumzika kwa maana ya kuuaga
mwili wake sanjari na kuomboleza.
0 comments:
Post a Comment