Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 19, 2015
Kutana
na Shilole, mwigizaji aliyechukua headline na kwenye bongofleva pia
ambayo anakiri kwa kiasi kikubwa ndio imeyabadilisha maisha yake
kiuchumi.
Bado headlines zake za Belgium zinaendelea ambapo leo hii
hizi picha akiwa anafanya video yake mpya ya ‘Malele’ hukohuko Belgium
ambako alikwenda kufanya show akaamua atumie gharama
nyingine
kutengeneza video yake mpya ambayo inatarajiwa kuwa yenye ubora zaidi.
0 comments:
Post a Comment