Friday, May 29, 2015

Le mbebez Siwema baada ya kuachana na msanii wa bongo fleva Ney wa Mitego kwa sasa anatoka na serengeti boy anaitwa Maduka.Ney alivamia Jijini Mwanza miezi michache na kumfumania mpenzi wake huyo na jamaa huyu.Timbwili lililopelekea Mr Ney kuondoka na mtoto wake Curtis.

Serengeti huyo ni maarufu kutokana na mali za urithi na maduka.Nyimbo mpya ya Ney  wa mitego mapenzi pesa au kupetipeti ya jidhihirisha kwenye penzi hili.



0 comments:

Post a Comment