Serikali imeahidi kumchukulia Shilole kufuatia
kusambaa kwa picha zake chafu zilizopigwa
wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji.
Akizungumza bungeni Dodoma leo, Naibu
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na
Michezo, Juma Mkamia, wakati akijibu hoja za
wabunge baada ya kusoma makadirio na
matumizi wa wizara hiyo, alisema tayari serikali
imeliagiza baraza la sanaa taifa BASATA
kufanya naye mahojiano.
“Tumemtaka ajieleze kupitia BASATA,
akishajieleza serikali itachukua hatua na
niombe mheshimiwa spika kupitia bunge lako
tufuku, kuliomba radhi kwa upande wa serikali
kwa kitendo kilichofanywa na mwanamuziki
yule. Sio maadili yetu na nimesema
akishajieleza serikali itachukua hatua yake, ”
alisema Juma Mkamia.

0 comments:
Post a Comment