Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 12, 2015
Baadhi ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi la East Coast, Gwamaka Kaihura GK na Mwana FA wakikamua. Shetta akipagawisha jukwaani na baadhi ya warembo waliohamasika na wimbo wake wa ‘Shikorobo’ na kuamua kuungana naye jukwaani. Chege na Temba wakionyesha uwezo wao. Kundi la Makomando likiimba. Msanii wa Bongo Fleva, Msamy, akipagawisha. Shetta akicheza na mrembo jukwaani. Mwana Hip Hop Fid- Q akikamua. Chege akiimba na shabiki. Joh
Makini akiwajibika.WASANII mbalimbali wa Bongo Fleva usiku wa kuamkia
jana walikusanyika ukumbi wa Mashujaa Grill & Lounge (zamani
ulijulikana kama Business Park) uliopo Victoria jijini Dar es Salaam,
ambapo walifanya makamuzi ya pamoja kwenye tamasha lililobeba jina la
Bongo All Stars.
0 comments:
Post a Comment