Sunday, May 31, 2015


 Dida Shaibu mtangazaji wa Times fm radio baada ya kuachika mara tatu ameamua kujiozesha kwa pombe.Anajiita baby wake saint Anna hii niaina ya pombe ambazo amezijaza zakutosha sebleni kwake.Lakini amekua akichepuka na pombe zingine kama Amarula.




AKIJIBURUDISHA NA FLEVA YA SHISHA.

0 comments:

Post a Comment