Sunday, May 31, 2015

Muziki wa bongo fleva umekua waneema kwa baadhi ya wasanii kwa wengine hali ni tete.Zola D ameamua kujiajili mwalimu wa mazoezi ya mwili maeneo ya Azula beach jijini Dar es Salaam ikiwa ada ni elfu hamsini.



0 comments:

Post a Comment