Friday, May 29, 2015


1. 1974 - 1977 FIFA Technical Director, Sepp Blatter,
2. 1977 - 1981 FIFA Technical Director, Sepp Blatter,
3. 1981 - 1985 FIFA Secretary General, Sepp Blatter,
4. 1985 - 1989 FIFA Secretary General,
5. 1989 - 1993, FIFA Secretary General,
6. 1993 - 1998 FIFA Secretary General, Sepp Blatter,
7. 1998 - 2002, FIFA President, Sepp Blatter,
8. 2002 - 2007 FIFA President, Sepp Blatter,
9. 2007 - 2011 FIFA President, Sepp Blatter,
10. 2011 - 2015 FIFA President, Sepp Blatter,
11. 2015 - 2019 FIFA President, Sepp Blatter (expected).
MY TAKE.!
Hivi FIFA haina mtu mwingine wa kuiongoza zaidi ya Sepp Blatter? Wazungu wanapiga kelele za utawala wa "kiimla" huku Africa mbona hawasemi lolote kuhusu Blatter?
Hivi wazungu wanapata wapi "Locus" ya kumpigia kelele Mugabe wakati Blatter ni zaidi ya Mugabe?? Since 1974 yuko FiFA, hivi FIFA ni ya babu yake?
Wazungu nao kwa unafiki utasikia kila siku kelele za "utawala wa ki-imla" huku Afrika.. Kwa hiyo huu wa Blatter ni wa ki-insha au? Maana "imla" na "insha" ni mtu na mdogo wake.
 
Malisa GJ!

0 comments:

Post a Comment