Msanii Hbaba katika tuzo za watu na tunzo zinazotarajiwa kufanyika za Kilimanjaro amekua akiwaimiza mashabiki kumpigia kura msanii Ali Kiba mpinzani mkuu wa msanii Diamond Platnum katika tasnia ya mziki wa bongo fleva Tanzania.H Baba amekua akitoa madongo ya chini chini kwa msanii Diamond yakiashiria kumchukia msanii huyo.Show ya jijini mwanza Diamond Platnum alipata mapokezi makubwa toka kwa madereva wa boda boda kuanzia uwanja wa ndege lakini H Baba alikaririwa akipiga madongo msanii anayekodi watu ili kushangiliwa kwenye mikoa ya watu.
Msanii Hbaba amekua akipost video zenye kuonesha msanii mwenye mdomo mkubwa akiwasalimia mashabiki wake zinazopelekea moja kwa moja ni dhihaka kwa msanii Diamond Platnum.Chuki hiyo ilizaliwa miaka kadhaa baada ya msanii H Baba kudai ameibiwa idea ya wimbo wanataka kulewa wa msanii huyo.



0 comments:
Post a Comment