Friday, May 29, 2015

Faiza Ally aliyewahi kuwa miss Tabata na mzazi mwenza wa muheshimiwa Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu amewafunda wasanii na mastaa wote wawe wanasema kweli njia za mafanikio waliyoyapata.Wapenzi na mashabiki wao wamekua wakitamani mafanikio ya watu bila kujua njia halisi walizopitia.
Ukweli ni kwamba baadhi ya watu maarufu waliofanikiwa wamepitia njia ngumu ila huwa awataji ikiwemo umalaya,wizi na uhuzaji wa bidhaa zisizo halali.kaongeza ili umwite mtu unataka kua kama yeye lazima ujue undani wa maisha yake.

0 comments:

Post a Comment