Posted by Williammalecela.com on Friday, May 15, 2015
 |
"KANISA KATOLIKI KTK KASHFA NZITO.!
Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa
Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference,
TEC), Padri Anatoly
Salawa amefumaniwa akifanya ngono ndani ya gari yake yenye namba T 674
ADA, na dada mmoja ambaye inadaiwa nae ni mfanyakazi wa baraza la
maaskofu.!
MY TAKE.! Nadhani
Kanisa Katoliki lijitafakari upya na ifike mahali Mapadri waruhusiwe
kuoa. Hakuna sababu ya kuendelea kumdanyanya Mungu kiasi hiki. Shame.!!" |
0 comments:
Post a Comment