- Tabia yangu ni kusema ukweli Daima, Uongo na Fitina kwangu ni mwiko na I speak the TRUTH and let the Chips fall where they may,
My Sister Eliza tumekuwa na urafiki wa kikazi hasa za online kwa muda mrefu sana now, I have worked so hard to show the World how Smart and Great Woman you are. My Sister ulichowafanyia marafiki zako ambao pia ni marafiki zangu wa karibu sana kama ulivyo wewe yaani Jack Adoko,Tunu Sepetu, Amina Mazonge na Salome Mollel na wote mnaishi Majuu USA sio sawa kabisa na ni matumaini yangu kwamba utafuta matusi yote uliyowarushia kwenye mitandao ya kijamii na ikibidi kuwaomba radhi kwenye vyombo hivyo hivyo ulivyovitumia KUWADHALILISHA WENZAKO. I mean I understand kwamba binadam wote tuna mapungufu na sio lazima tukubaliane wakati wote, lakini kumtangaza mwenzako ana HIV au malaya aliyetembea na baba yake kwenye Social Media tena watu waliokuwa marafiki zako wa karibu inatisha sana na inaleta serious maswali kuhusu uwezo wa ku control hasira zako dhidi ya marafiki zako wa karibu zinapotokea tofauti kidogo tu ambazo zingeweza kumalizwa nje ya Social Media.
- Kwa nini ninakuletea Ushauri kwenye Social Media badala ya pembeni kama inavyotakiwa, ni kwa sababu nimejaribu kadri ya uwezo wangu kuongea na wewe nje ya Social Media lakini umekimbilia kuni block I mean rafiki anatakiwa kumwambia rafiki yake ukweli sio uongo uongo ninarudia tena yale yale niliyokuambia in private kwamba you are too big for this matusi matusi kwenye Social Media, you created a powerful Image that now you are destroying it your ownself with your own hands kisa hasira za misuguano ya kawaida kwenye maisha na marafiki zako that is not right sister.
- Ok no matter what this 4 Sisters comes as winners at whatever is at fault baina yenu cause hawajakujibu hata wakati mmoja kwenye Social Media, please again ninakuomba sana futa hayo matusi na waombe radhi wenzako kwa kuwarushia matusi mazito sana mbele ya jamii kumtusi rafiki yako wa zamani kwamba ana HIV mbele ya jamii ni character assasination ambayo ni sawa na kumuua binadam mwenzako I mean I am not happy with that sister. Najua kwamba uhusiano wetu umekuwa ni kazi na malipo but how do I defend you kama zamani na this kind of behavior? Please again kama kuna any misunderstanding baina yenu solve them pembeni na wenyewe kwa wenyewe lakini njia uliyochukua was not the right way and I don't support it in anyway and yes I feel for your friends kwa kuwadhalilisha sana to the public. Tunatakiwa kuwa na marafiki tunaofanana nao, tunatakiwa kuwa ni ndege tunaoruka kutokana na rangi moja now how can I defend this Sister Eliza?
- Kumbuka mko Majuu the dream ya kila mtu huku bongo ni kuja huko na kujifunza mambo ya Dunia ya kwanza now what are you telling this folks kwamba Majuu ni good kwa kujifunza namna ya kutukana your friends matusi mazito na ya ajabu kwenye Social Media? Jamani Wabongo Majuu jifunzeni kupendana na kuelewana mfanye mambo makubwa kwa nini mkifika huko mnabadilika hivi? I mean please Sister Eliza kwa nia njema na sana nakuomba ufute hayo matusi kwenye Facebook yako na waombe radhi wenzako yaishe muishi kwa amani hata kama hamuwezi kuelewana basi kusiwe na matatizo ya kufikia kurushiana matusi kama hayo kwenye Social Media tena, na I am doing this only because I love you!!
MAY GOD BLESS YOU ALL MY SUPER FRIENDS!
LE MUTUZ NATION - THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK.


Very classy of you, such a shame on her and the other ladies, i pray they find a better solution, this is not the way to sort disputes
ReplyDeleteAsante kaka, sie tumeogopa hata kupumua kumshauri tumeogopa kutukanwa, labda atakuelewa wewe, yeye ni mwanamke and mke wa mtu haya matusi aachene nayo anampa aibu mumewe na familia yake, nadhani atakusikiliza sasa, tunataka dada zetu wa nje wapendani
ReplyDelete