‘Nasema Nawe’ imekamata namba saba kwenye African Top 10 ya The Beat 99.9 FM ya Lagos,
Nigeria.Mtanzania mwingine ambaye yuko kwenye chati hiyo ni Vanessa Mdee ambaye wimbo aliomshirikisha rapper K.O wa Afrika Kusini umeendelea kushika namba moja.Hii inatoa somo kwa wasanii wetu kuwa sio lazima wasanii kufanya nyimbo zenye mahadhi ya Kinigeria au kutumia lugha ya kiingereza ili kuweza kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa.
0 comments:
Post a Comment