Leo ikiwa ni kumbukumbu ya mwaka mmoja baada ya kifo cha muuandaaji wa
filamu George Tyson.Msanii Yvonne Cherrie maarufu Monalisa amelaani
ndugu waliojitokeza baada ya kifo cha mme wake na kutoweka na baadhi ya
mali za marehemu.Ameshukuru kwa husia kuachwa wanae Sonia na Eugene
wamepata nafuu ya maisha.

MAREHEMU TYSON NA MWANAE SONIA.

Picha ya marehemu na familia yake enzi za uhai.Marehemu George Tyson alifariki kwa ajali akitokea Dodoma kuruda mkoani Dar es Salaam.Leo kutakua na misa ya kumwombea marehemu huyo Sinza Vatican kwenye kanisa la mchungaji Boniface Mwaiposa saa 6-8 mchana.

0 comments:
Post a Comment