Friday, May 29, 2015


"Mhe Stephen Wasira anatangaza nia yake ya kugombea urais Kesho kutwa jijini Mwanza...Nasikitika sana, kama mtoto na mwanafamilia ilibidi niwe upande wake kipindi hiki, nimuunge mkono! Lakini mimi bado kutoka ndani ya sakafu ya moyo wangu naamini kabisa, nchi hii itapiga hatua kubwa tena kwa muda mfupi chini ya uongozi wa Kiongozi huyu mahiri, MHE DR WILIBROD SLAA...
Tunataka akili mpya, nguvu mpya, na mawazo mapya kny mfumo wa serikali ili mabadiliko tunayoyahubiri yaonekane kwa macho sana. Na Ukawa ndio mpango mzima!!!

Hatahivyo, Namtakia Mhe Stephen Wasira Kila la kheri!! Kny Kinyang'anyiro hicho. Watanzania wataamua wenyewe.
Peoplesssssssssss!?"

0 comments:

Post a Comment