Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 19, 2015
Wasanii
hao wakiwa katika mahaba mazito baada kulewa. Tukio la uchafu huo
unaotia kichefuchefu cha ‘mimba changa’, lilinaswa na ‘kiona mbali’ cha
gazeti hili namba moja kwa skendo na ufuska wa wasanii, waigizaji na
mastaa mwishoni mwa wiki iliyopita maeneo ya Sinza-Legho jijini Dar na
kuzua mshangao mkubwa.
Makinda’ wawili wanao penyapenya katika sanaa ya maigizo runingani wa
Kundi la Sanaa la Jakaya Theatre Arts Group, Sefu Ngao ‘Stefano’ na
Vanessa Msofe wamenaswa wakifanya uchafu kwa kuoneshana mahaba mazito
huku wakiwa ‘bwii’, Ijumaa Wikienda linakupa ishu nzima.
Wasanii
hao wakiendelea na starehe zao.... Kitendo cha wasanii hao kufanya
uchafu huo kisa ulevi, kilikatishwa na mmoja wa wahudumu wa baa hiyo.
“Jamani nilipeni hela yangu na muondoke hapa,” alisikika mhudumu huyo aliyekerwa na vitendo vichafu vya wasanii hao.
0 comments:
Post a Comment