MALKIA
anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu na
Mshindi wa Big Brother Africa 2014/15, Idris Sultan ambao wamekuwa
marafiki wakubwa katika siku za hivi karibuni, nusu wazichape kavukavu
baada ya kupishana kauli huku wivu wa kimapenzi ukitajwa.
Malkia
anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu.
Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita nje ya Hoteli ya Hyatt
Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro iliyopo Posta jijini Dar ambapo
kwa pamoja walikuwa wamehudhuria sherehe ya utoaji Tuzo za Watu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment