Staa
wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amefunguka na kumpogeza staa
mwenzake Aunt Ezekiel ambaye amezaa na mcheza dansi, Moses Iyobo kwa
kuamua kuwaacha matariji na kuamua kuzaa na mcheza dansi huyo.Penzi la
Aunt Ezekiel na Moses Iyobo limekuwa likitazamwa
kwamitazamo tofauti tofauti hasa miongoni mwa mashabiki huko mitandaoni, Wolper amevunja ukimya na kuanddika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.
BONYEZA INAENDELEA

0 comments:
Post a Comment