Abambi wa pili ni mfalme toka nchini Cameroon jamii ya Bafut amerithi wake 72 toka kwa baba yake aliyefariki na kuoa wanawake wengine na kutimika 100.Ana jumla ya watoto mia tano pamoja na aliorithi kwa mzee wake.Ni kiongozi pekee mwenye wanawake wengi hata King Mswati hamfikii.
0 comments:
Post a Comment