Thursday, June 18, 2015

Kanye West amemkodolea macho mpenzi wake wa zamani Amber Rose alipokuwa akitazama mechi ya mpira wa kikapu.Amber ambaye kwa sasa anampenzi mpya Mashine Gun Kelly aliyekuwa ameandamana naye.Hii ni kiashirio  bado anamtamani mwanadada huyo mwenye drama zake maungoni.

0 comments:

Post a Comment