Wednesday, June 3, 2015

Baada ya mabango na matangazo kubandikwa na picha yake kuwepo asema yeye na uongozi wake hawafahamu kitu.Mapromota wengi hutumia picha za wasanii kuvuta mashabiki wakati hawata hudhuria.Hii huchangia vurugu na watu kupoteza viungo na uhai pale muda unapofika msanii haonekani.


0 comments:

Post a Comment