Ule msemo wa hakika wakubwa wanafaidi wajidhihirisha ahanika mambo hadharani.Ikulu yake yote nje ingawa haijafahamika kusudi la upigaji picha za hivi.Agnes Masogange umaarufu wake ulikuja baada ya kua modal kwenye video za wasanii mbalimbali.Jina masogange alipewa na mashabiki kutoka nyimbo ya Belle 9.Kwasasa haijafahamika anajihusisha na biashara gani zaidi yakuonekana akisafiri kwenda South Afrika na kula bata viwanja mbalimbali.
Wednesday, June 3, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment