Wednesday, June 3, 2015

Davido kutoka nchini Naigeria amekana mimba ya mdada Queenlonyea nakudai kuto husika naye kimapenzi.Mwanadada huyo amepost picha mbalimbali akithibitisha ukaribu wao hapo awali.Wasanii wakubwa wamekua wakikataa mimba  bila kufahamika ukweli ni upo P squre nao wameshatajwa mara zaidi ya moja kuzikana mimba za wapenzi wao wazamani.




0 comments:

Post a Comment