Thursday, June 4, 2015

Rais Robert Mugabe anamiaka 91,amedumu kwenye kiti hicho kwa takribani miaka 35 juzi akiwa nchini Nigeria kwenye sherehe za kuapishwa rais Muhammadu Buhari wahandishi wa habari walimuhoji.Alijibu kwa furaha ushindi wa raisi huyo wa Naigeria ila sura ilibadirika ghafla baada ya kuulizwa lini ataachia madaraka.Waziri wa mawasiliano wa Zimbabwe Jonathan Moyo amewaita wahandishia hao wanafanya kazi na Boko Haram na niwacheza filamu wa Nollywood sio wahandishi kwa taaluma.Vyombo vyote vya habari nchini Zimbabwe vimeita unyanyasaji kwa hicho alicho fanyiwa.


0 comments:

Post a Comment