Thursday, June 4, 2015

Toka kuanzishwa kwa safari za ndege duniani mtanzania Mrisho Mpoto amesimama kwenye ndege baada ya abiria kujaa.Wenda alikua na haraka anashukia kituo cha karibu.Hii ni baada ya kupata nauli ya kwenda kwa mjomba ili amuwahi kabla ya kumaliza muda wake.

0 comments:

Post a Comment