Thursday, June 4, 2015

Malaya nchini Zimbabwe wameruhusiwa na mahakama kufanya shuhuli zao bila kukamatwa na polisi.Nhasi Izuva mmoja wa malaya hao huku akinywa bia kwa furaha atawazawadia wateja wake wa kila siku bure.Haikujulikana uhuru huo nimwaka mzima au siku kadhaa kutokana na wana harakati kuendelea kushuhurikia swala hilo.

0 comments:

Post a Comment