Friday, June 26, 2015

"Leo imekuwa siku ya furaha sana kwangu. Historia imeandikwa, nikiwa Mlezi na mtetezi wa haki za Madreva Nchini Tanzania tangu niteuliwe na Viongozi hawa.
Leo kwa furaha kubwa natangaza rasmi kuwa Madreva wamepokea cheti cha uanachama wa Wafanyakazi. Na pia mkataba Mpya utakao anza tarehe 1 mwezi wa Saba 2015. Jambo kubwa sana tena la kujivunia. Haki zote mpaka Likizo ya dreva na bima ya afya imepata nafas. SASA MKINIONA NA BANGO SIKU YA WAFANYAKAZI NIKIWA NA MADREVA MSITUSHANGAE."







0 comments:

Post a Comment