Friday, June 26, 2015



Matukio ya ajabu yameendelea kuonekana katika mitandao ya kijamii siwezi kusema zamani hakukuwa na hivi vitu ila inawezekana vilikuwepo
lakini havikupata nafasi ya kuonekana kutokana na teknolojia kuwa ndogo kwa kipindi hicho hii picha inaelezwa hawa wanafunzi walikuwa wanafanya mahafali kimaadili sidhani kama ipo sawa

0 comments:

Post a Comment