Wednesday, June 17, 2015

Chama cha demokrasia na maendeleo chadema mpaka sasa hawana mgombea aliyetangazania,Hata ilani ya uchaguzi bado haijatengenezwa na wamedai hawatashiriki mjadala wowote mpaka watakapo kuwa na mgombea.Dhambi ya kumfukuza mtengeneza ilani ya chama hicho Dr Kitila Mkumbo inaendelea kuwatafuna.

0 comments:

Post a Comment