Watangaza nio wote sasa wanasaka saini za wadhamini na hakuna hata mgombea mmoja anayewawaza wananchi wake kwa sasa.Idadi ya wabunge ni 357 lakini toka juzi wabunge 33 tu ndo wanaudhulia bungeni.Wengine wapo wanasaka madaraka na majimbo warudi tena uongozini.
0 comments:
Post a Comment