Saturday, June 6, 2015

Chuchu Hanc mpenzi wa Ray kigosi amejinadi shepu yake akidai kama huna jicho la tatu huwezi jua vitu vizuri.Likiwa ni dongo kwa wote wanaoponda Ray kudata kwa mama wa watoto wawili.Akiwa ameposti picha na sehemu ya uso kufanya isionekane vizuri lengo kuonesha sehemu ya nyuma ya mwili wake mahaga.

0 comments:

Post a Comment