Mkali wa miondoko ya nyimbo laini za mahaba Criss Brown amemnyatia mpenzi wake wa zamani Karrueche sababu ikiwa bado anamtamani.Mrembo huyo alikua kashikwa mkono na njemba nyingine haikufahamika kama ni mpenzi wake mpya.Criss alionekana mnyonge na kumfatilia hadi nyumbani kwake.Karrueche alipiga simu polisi na kudai kuna mtu asiyemfahamu anamfatilia huku akijua wazi ni mpenzi wake wa zamani.Wapenzi hao waliacha kutokana na usaliti wa Criss Brown kuchepuka ovyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment