Tuesday, June 2, 2015

Fredirick Bundari mwandishi wa habari amelalamikia gazeti la udaku la Kiu limekua likichukua habari za mitandao ya tovuti bila kutaja wahusika walioandika habari hizo.Ni zaidi ya miaka miwili limekua likichukua habari tovuti tofauti.Toleo la mwisho la gazeti hilo lina habari sita alizoziandika yeye kwenye mitandao ya tovuti bila kutajwa.Sivibaya kwa gazeti hilo kuchukua habari hizo kwa busara wanapaswa kuonesha wametoa wapi habari hizo.


0 comments:

Post a Comment