Posted by Williammalecela.com on Tuesday, June 02, 2015
Linah Sanga apost picha hii akiashilia anatamani kua na mtoto.Msanii huyo mwenye sauti mithili ya ndege mnana amedumu na mpenzi wake zaidi ya miaka minne kwake amedai ni zaidi ya ndoa ni muda muafaka wakupata mtoto.
0 comments:
Post a Comment