Tanzania kuna mambo!!!!!!!!!!yaani pamoja na mijadala mikali wakati wa sakata la ESCROW ,wabunge kukesha wakipendekeza hatua za kuchukuliwa dhidi ya waliohusika katika sakata la ESCROW, kumbe mmiliki wa IPTL ambaye bunge liliazimia asiendelee kulipwa bado analipwa shilingi Bilioni 5 kila mwezi?sasa je Bunge lilimuonea ama?NAWAZA TU.
0 comments:
Post a Comment