Stive Nyerere.
Hali mbaya! Lile bifu la waigizaji wa filamu za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na Kulwa Kikumba ‘Dude’ limefika pabaya ambapo wamekuwa wakitoleana maneno makali kwamba mmoja wao akifa hawatazikanaChanzo cha wasanii hao kugombana kilitokana na kaburi la marehemu Adam Kuambiana ambalo limejengwa hivi karibuni ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, Steve Nyerere aliandika waraka mrefu akiwashutumu Dude na William Mtitu kwamba wao ndiyo wanaomchafua.
Kwa upande wa Steve naye alisema: “Huyo Dude aendelee na maisha yake.”
0 comments:
Post a Comment