Wednesday, June 3, 2015


Huduma kwa wateja nchini Brazil imekua ikiwatongoza wanawake waanaopiga simu kueleza shida za kimtandao na wanaofatwa majumbani kupewa huduma za ufundi.Uchunguzi uliofanywa na BBC Maria Jordean miaka 21 alipowaita mafundi umeme baba ake akiwepo hawakumfanya kitu,Siku iliyofatia walimlazimisha kufanya nae mapenzi nakumlazimu kukimbia.


0 comments:

Post a Comment