Wednesday, June 3, 2015

Nuh Mziwanda mme mdogo mdogo wa Shilole amemsifia mpenzi wake hana shepu ya mchina.Amwita shape ya mjerumani imejegwa na mawe magumu magumu haporomoki kama shepu mchina.Nuh Mziwanda pamoja na kupigwa makofi mara kwa mara na mdada huyo bado ana mapenzi naye ya dhati na kumsifia.

0 comments:

Post a Comment