Monday, June 8, 2015

Dina Marious mtangazaji wa kipindi cha leo tena clouds fm,Ambaye kwa sasa amewekwa benchi nakuendelea kulipwa mshahara.Sababu ikiwa ni wamiliki wa redio kutumia mamalaka yao kumnyanayasa kwa kosa ambalo hajafanya.Baada ya leo kufunguka imekua ikumuumiza sana nakumpa vidonda vya tumbo amefanya kazi kwabidii na kujituma kipindi cha maika kadhaa redio Clouds.Lakini mchango wake haujathaminiwa mzazi mwenzake Ncha Kali Ruben Ndege baada ya kuacha kazi redio hiyo matatizo ndipo yalipoanzia.Wamiliki wamekua wakitaka kulipa kisasi kupitia yeye ingawa hausiki.Ameongea kwa hisia na kukanusha kwamtangazaji Zamaradi Mtetema kuhusika katika varangati hilo na hana uhusiano wa karibu na mtangazaji huyo.

0 comments:

Post a Comment