Mc Pilipili mchekeshaji amesema kwa sasa anaviwanja mikoa mitatu Dar es Salaam,Dodoma na Tanga.Vyote vikiwa vimetokana na kazi ya uchekeshaji.Alikua mwalimu wa shule ya msingi nakugundua Mungu alimwandikia kipaji cha uchekeshaji kazi iliyopelekea mafanikio hayo.Hana hofu na uzee ameshajiandaa vyakutosha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment