"Hi Admin, mimi ni mmoja wa Fans katika Page hii.
Mwanamke aliye Pichani ni mama yangu. Madaktari wameniambia ana wiki nne tu za kuishi. baada ya cancer hii aliyonayo kushambulia sehemu muhimu za mwili wake..
Sasa nipo Hospitali nikimtazama mama yangu akifa taratibu na canser hii inayozidi kusababisha maumivu makubwa kwa mama yangu.
Mpaka nilipo sijui cha kufanya nampenda sana mama Yangu. naamini katika maisha hkuna asiyejua uchungu wa mama..
Tafadhali Muhusika wa Page hii nahitaji uposti hapo. Naamini tukimuomba Mungu kwa pamoja Muujiza wowote waweza kutokea "Its me Terry Wanjiru From Kenya"
Ungana na mimi Admini kumuomba Mungu ahusike kwa uponyaji kwa huyu MAMA, Maana hakuna jambo linaloshindikana, Unaweza Foard kwa kushare kwa watu wengi zaidi plzzzzz

0 comments:
Post a Comment