Friday, June 12, 2015

Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.Saphyna Mlawa, Dar es Salaam
ANAJULIKANA kwa jina la Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, alianza kupata umaarufu kupitia fani ya urembo lakini kwa sasa sauti yake kusikika kwenye Bongo Fleva na kazi zake za urembo ndizo zinamfanya asomeke kwenye vyombo vya habari.
Mwanamuziki Ali Kiba.Jokate ambaye alitumia alama iliyopo kwenye uso wake kujipa jina la utani la Kidoti, amezungumza na Championi Ijumaa katika mahojiano maalum: 

0 comments:

Post a Comment