Friday, June 12, 2015

Rais Jakaya Kikwete na msaka urais Bernard Membe waziri wa mambo ya nje kutokana na sura zao kufanana maswali yamekua mengi ni ndugu au sio ndugu.Bernard Membe wakati wa uchukuaji fomu ya urais mkoani Dodoma alikanusha hawana undugu wa kibaologia.Uvumi huo unaibuka sasa kuogopa asije akapigiwa pande kwenda Ikulu kiuraisi.

0 comments:

Post a Comment