Napata faraja kuona watia nia wote wa CCM... wakikiri they have failed us ! 10 % mafanikio 90% matatizo. Na bado wanataka tena..! DUH!
CCM ni kama Darasa lenye wanafunzi wajinga. Angalau wakipewa mtihani lazima wa kwanza apatikane. Hata kama amepata 2/100 bado ni wa kwanza 






0 comments:
Post a Comment